Friday, May 3, 2013
MWALIMU ALIKUTANA NA CHANGAMOTO KAMA SIO CHANGA LA MOTO!
MWALIMU; which crops do we export to euro?
MWANAFUNZI; coffee,
MWALIMU; good, how many types of coffee do we have?
MWANAFUNZI; two types,
MWLIMU; excellent boy! and what are they?
MWANAFUNZI; Coffee Anan and Coffee Olomide,
MWALIMU; safi safi sanaaa, nakuacha cha hivyo hivyo mpaka serikali iniongeze mshahara,!!!!!!!
NDANI YA DALADALA''
DEMU;samahani kaka naomba unipakate,
JAMAA; usijali njoo tu nikupakate,
DEMU; haya,
JAMAA; wewe unaonekana ni secretary?
DEMU;ndio, kwani vipi?
JAMAA; vidole vyako laini kweli!
DEMU; asante, nawewe ni fundi magari?
JAMAA; ndio, umejuaje?
DEMU; naona hapa nilipo kaa nainuliwa na kitu kama jeki!
JAMAA; hapana nadhani itakuwa mabonde tu.
MTOTO NA PESA
MTOTO ALIMUULIZA BABA YAKE,
ETI BABA UKIKUTA NOTI YA SHILINGI ELFU KUMI{10,000} NA ELFU TANO {5,000} UTAOKOTA IPI?
BABA; WEMJINGA KWELI NITAOKOTA YA ELFU KUMI {10,000}
MTOTO; WEWE NDIO MJINGA BABA MIMI NITAOKOTA ZOTE.
MCHAGA MSAFIRI
Mchaga 1 alikuwa anasafiri kwenda nje ya nchi, akaita tax impeleke airport akauliza: shngapi kwenda airport, dreva: elfu 30 tu, mchaga: jumla na mzigo itakuwa shngap, dreva: mizgo ni bure, mchaga: basi beba mizgo yangu utangulie nayo mi napanda daladala.!
OPERATION YA MACHO
Jamaa mmoja alifanyiwa operation ya macho baada ya cku 3 akawekewa macho ya paka.Doctor;vp unaona vizuri?Jamaa;NAONA PANYA TU!!!
TAFAKARI NDIO WEWE
Jamaa
mmoja alikua amekaa bar akaitazama bia yake kwa zaid ya dakika 20.
Akatokea jamaa mmoja baunsa mtemi akaichukua akainywa yote ile bia
jamaa akaanza kulia hata hvo baunsa akamwambia
"usilie bana nilikua nakutania tu nitakununulia nyingine"
...
jamaa akajibu
"hilo sio tatizo ila leo ninamikosi tu, asubuhi kazini nimefukuzwa,
baada ya kutoka nje nkakuta gari yangu imeibiwa nikaja zangu bar ,
nimenunua bia yangu na kuiweka sumu ili nijiue wewe tena umeinywa"
Subscribe to:
Posts (Atom)