Wednesday, March 27, 2013

WIFE NA HUSBAND WALIKOSANA

wife na husband walikosana. wife akapack nguo zake kwenye bag.
Conversation yake na husband ikakuwa:

Husband: unakwenda wapi??
Wife: nakwenda kwa mamangu.

husband kuckia vile na yy akaanza kupack nguo zake kwa bag.

Wife :(kwa mshangao) na ww unaenda wapi??
Husband: kwa mama yangu pia.
Wife: na watoto wako utamuachia nani??
Husband: na wao pia wataenda kwa mama yao.

Wife kuckia ivo akarudisha nguo kwa kabati akaenda kudoz

No comments:

Post a Comment