Wednesday, March 27, 2013

BINTI ALIYETOROKA KIJIJINI

Binti mmoja aliyetoreoka kijjni kwao arejea baada ya miaka 10:

BABA: We mtoto ulipotelea wapi, unajua ulimtesa sana mama yako?

BINTI: Nilikuwa nafanya kaz ya umalaya marekani baba..

BABA: Tobaaa! Balaa gani hii...mshenzi mkubwa wee, umetutia aibu wazazi wako, toka na usikanyage tena hapa!

BINTI: Sawa baba ila kabla sijaondoka, nimewanunulia nyumba ya kisasa mjini, nikawaekea millioni 75 benk, na ile gari nlilokuja nalo ni la kwako..

BABA: Hivi ulisema unafanya kaz gani tena?

BINTI: UMALAYA

BABA: Aahaa, mi nlisikia UYAYA. Karibu ndani mwanangu tulikumiss sana

No comments:

Post a Comment