Wednesday, March 27, 2013

NDANI YA BASI

Mama mmoja alikuwa anataka kumnyonyesha mwanae.....mtoto akakataa kunyonya
Mama akamwambia mwanae "NYONYA KAMA HUTAKI MI NAMPA ANKO(jamaa pembeni)"

Mtoto kuskia hivyo akanyonya kidogo alafu akaacha
mama akamtisha tena mtoto

"NITAMPA ANKO ANYONYE"

Jamaa kwa hasira "MAMA UWE NA MSIMAMO UNAJUA NIMEPITILIZIA VITUO VINNE KWA AJILI YAKO HEBU KUWA MKWELI UNANIPA NINYONYE AU NISHUKE?"

Abiria + kondakta + dereva = vicheko wanavunjika mbavu

No comments:

Post a Comment