Wednesday, March 27, 2013

ITS FUNNY CHALIII

Katika daladala chali mmoja akamwona binti anachat akajisogezasogeza nakujishughulisha hadi akamfanikiwa kumuomba contacts ili wachat Binti akamwandikia Chali katika karatasi

"Utanifia@yahoo.com

Chali kusoma nae akamwandikia ya kwake iliosomeka,

"Haulipikihivyo@yahoo.com

No comments:

Post a Comment