Wednesday, March 27, 2013

SIMU YA DEM INAITA..ANAPICK CALL

Caller: hi swithurt,. unaendeleaje uko nyumbani¿?
Dem: poa swry! ninasumbuliwa na headache yaani ata cezi kusimama..
Caller: oh! pole bbe...mi niko hapa bank na withdraw elfu ishirini alafu nikuje huko...nikukujie na nini swiry?
Dem:(kwa furaha) nikujie na-credo ya thao, pizza, simcard ya YU, chipo, kuku, red bull na usisahau na ile perfume mi hutumia.
Caller: (akishangaa!) ha! c uliniambia uko na headache? mbona kwa iyo list refu hakuna panadol?
Dem: aah! swiry...nilikua nakuenjoy.. siumwi..
Caller: aha! na mm nilikua nakuenjoy..cko bank
Dem: !!!(cmu inazima)

No comments:

Post a Comment