Wednesday, March 27, 2013

BANK YA KUCHANGIA DAMU

Chali: Hello babez!

Dem: Hello hello hun

Chali: Nitalate kiasi leo

Dem: Nishakujua uko kwa lile li-Demu lako we ni Mbwa sana cjui ilikuaje ukawa na mimi. NAKUCHUKIA KAMA NINI SIKUPENDI HATA KIDOGO!!

Chali: Swit wangu niko Bank jamani!

Dem: Haa! Ulijuaje kama sina money niletee elfu 20 babez. nakupenda sana kuliko roho yangu. Utapata nimekuwekea maji ya kuoga mpenzi. Usisahau hizo pesa na ninunulie keki ya Blackforest na icecream. Lv u..... Mwaaaaah!

Chali: Ni bank ya kuchangia Damu Mamaaa!

Dem: Nyooo..... Wambie wakutoe yote!!

No comments:

Post a Comment