Wednesday, March 27, 2013

MASAIBU YA MWALIMU WA HESABU

Masaibu ya mwalimu wa Hesabu
Tanzania

Mwalimu : haya tufanye hesabu
sasa,Ali kiba, kaka yako akikupa
machungwa manne,kisha
akuongezee mengine tatu
baadae,jibu lako itakua nini??

Ali kiba : Asante kaka..

No comments:

Post a Comment