Wednesday, March 27, 2013

IMAGINE WW NDO MHUDUMU

Mtoto m1 wa miaka 16 alienda bar akaagiza Castle lite akawa anagida pale burdan, baada ya kugida kama bia 6 hivi weita akamdai pesa, hapo ndo utata ukaanza kwani dogo alimwita weita akamwambia asome maandishi madogo yaliyoandikwa pale kwa chupa. Yaliandkwa HAIUZWI KWA WA2 CHINI YA UMRI WA MIAKA 18. Dogo akamwambia Muhudumu "cc ha2uziwi, 2nakunywa bure."......!

No comments:

Post a Comment