Wednesday, March 27, 2013

KIKONGWE

Ndoa ilikuwa inafungwa kanisani, PASTA akatangaza: "Yeyote mwenye pingamizi la ndoa hii kufungwa aje mbele.."

Ghafla BABU mmoja kikongwe akajitokeza kutoka nyuma ya kanisa na kuanza kusongea mbele..

Bibi harusi kuona kikongwe yule akisogea mbele, akatetemeka na kuzimia.

PASTA: Haya sema pingamizi lako..

KIKONGWE: Nimeamua kuja mbele...kule nyuma siskii vizuri.

No comments:

Post a Comment