Friday, March 29, 2013

TUSIFANYE MAPENZI KWA KUKARIRI.


Leo nataka niongee na wanandoa, yes wewe mume haswaa! Hebu fanya tathmini ya ufanyaji wako wa tendo la ndoa na mkeo, unaonaje, ni wa kukariri na kujirudia rudia au ni wa kubadilika kila siku! Kaa ukielewa kuwa wanawake wanapenda mwanaume ambaye" Hatabiriki" Mzee mwenzangu usiwe ume kariri jinsi ya kucheza mechi yako kiasi kwamba wife anajua kwamba, ukishakaa mkao huu kinachofuata ni hivi kisha vile then mchezo unaisha!!
Jaribu kuwa mbunifu na kubadilika badilika, ikibidi siku moja " Unapiga Sarakasi" kimtindo kitandani kunogesha ladha ya Mchezo!!!

No comments:

Post a Comment