MADENGE
Madenge
ali2mwa sokoni na mama yake kununua njegere akiwa njiani anarudi na
njegere moja ikadondoka ikabimbilika akasema anhaa kumbe mnajua
kutembea! Akamwaga zote chini , mtanikuta nyumbani alipofika nyumbani
mama yake akamuliza madenge njegere ziko wapi ? Madenge ziko njiani
zinakuja !
No comments:
Post a Comment