Mtalii
ndani ya Bongo kaona nazi, akawa hajui nini. Akawauliza wenyeji,
wakamjibu "Hilo yai la tembo!". Akataka kujua linatotoa vipi.
Wakamwambia unalikalia halafu unasugua kwa matako mpaka anatoka tembo.
Akarudi nchini kwao, akawambia wanae waanze kusugua. Sugua, sugua wapi!
Hamna tembo. Akamwabia mkewe, sugua, sugua wapi! Akaona aingia yeye mzee
wa kazi! Akawa kwa nguvu nyingi kichizi! SUGUA, SUGUA, SUGUA, mara
ghafla watoto wanaanza kushangilia
"Mkonge, mkonge, mkonge..".. Mzee akazidisha nguvu, mara watoto tena
"Mashkio, Maskiooo, Mashkiooo"..
Mzee akaona bora amchungulie huyo tembo, kucheki vizuri kumbe ilikuwa suruali yake imechanika!!
No comments:
Post a Comment