UROHO M-BAYA..
Mwizi alibomoa nyumba akaingia kwenye stoo akaona vinyama
kwenye kibakuli vilivyokauka,akaonja kimoja akaona ni kitamu kina chumvi
chumvi! Akafurahi akakaa chini akala vyote alipomaliza akaangalia juu
ya mlango akaona pameandikwa CHUMBA CHA KUTAHIRIA!! eti unahisi alikula
nini?
No comments:
Post a Comment