YUPI MKALI
Wachungaji
3 walikutana waelezane matatizo yao ili waweze kuombeana wa kwanza
akasema jamani mimi tatizo langu wizi yaani kila nikimaliza ibada lazima
niibe hela za sadaka,Wapili akasema jaman mimi tatizo langu napenda
wanawake yaani kila mwanamke nataka kulala nae nimeshatembea na
wanakwaya wote,Watatu badala ya kuongea akaanza kulia wenzie wakamuuliza
unalia nini? Akajibu, "jamani mimi tatizo langu umbea yaani haya yote
tuliyoongea lazima nikaseme"!
No comments:
Post a Comment