Kuna
jamaa wawili,walikwenda kuwinda, mmoja alikuwa mtaalamu wa kulenga
mwingine wa kuchuna, mtaalam wa kuchuna alibaki garini na mwenzake
akashuka kuwinda.
Ile anakatiza kichakani mara Simbahuyoooo!o Ikabidi jamaa aanze kukimbia vibaya mno huku akipiga kelele fungua fungua......!?
Mwenzake akafungua mlango wa gari, jammer anakaribia mlangoni huku
Simba akiwa nyuma, Simba akamrukia, bahati mbaya jamaa akaanguka chini,
Simba akajikuta ndani ya gari, jamaa akaamka haraka akafunga mlango na
kumwambia mwenzake..''ANZA KUMCHUNA NAKWENDA KULETA MWINGINE''...
No comments:
Post a Comment