Jamaa alipeleka gari lake kwa fundi lipakwe rangi!
Fundi akauliza lipakwe rangi gani?
Jamaa akasema yeyote isipokuwa nyekundu, nyeupe, bluu, njano, kijani
wardi, nyeus, chocketi, kijivujivu, maziwa, zambarau, orange na nyingi
nyengnezo akazitaja!
Lini nije kulichukua gari langu?
Fundi akamjibu "Njoo cku yoyote icpokuwa Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamis Ijumaa, J'mosi wala jumapili!
No comments:
Post a Comment