Wanaume karibia wote ambao ni Good Looking,wasafi
nini,profile picture mashallah,ndevu zimepigwa 'O',ni Maplayer na
Hawajali mapenzi...Wale wasio na haiba na mvuto kwa nje,ndio wenye
mahaba niue,wako Real na upendo wa dhati na wanacare...Sasa chagua
moja,ujivishe Ngata ubebe mzigo wa misumari ukubali kutoka na Player
kisa ana mvuto,huku ukijipa mahope
kwamba eti Utambadilisha na Kumtuliza ambayo ni ndoto kama kukuta
changudoa bikra,au uweke Udiva pembeni kujifanya unapenda mahandsome
wenye dimples ili uwaringishie mashosti,''This is my Guy'' ujitome
mzimamzima kwa jamaa mwenye sura kama yangu hapa,sura kama umepokea
taarifa ya msiba lakini mwenye mahaba tele kwako!
Najua madiva
hamuwezi,mnapenda sana Show-Off na ndo maana mnalizwa deile,mnakimbilia
sura,bajeti zenu za leso kwa mwaka ni kubwa kuliko bajeti ya Baby
Powder!
No comments:
Post a Comment