Usikubali kugeuzwa ARV,vile vidonge,ili umuongezee maisha yeye baada ya kukumbana na virusi vya kuachika huko alikokimbilia kwa mbwembwe.Mwanaume ni msimamo,kama alikuacha kwa sababu,ukikubali kumrudia tena ipo siku atapata sababu tena ya kukuacha na utaumia mara mbili...
Wednesday, April 24, 2013
KWA WANAWAKE WENYE AKILI, KAMA HUNA AKILI USISOME
Kama kuna mwanaume amekuacha bila sababu yoyote ya msingi,au ametafuta
kasababu ka kijingajinga tu ili abreak up,amepata mwanamke
mwingine.Ukaumia,ukalia,ukapon a,ukapata
mtu mkaanzisha mbingu yenu yenye amani na raha,GHAFLA yule furushi
aliyekuacha anaanza kurudi,mara akosee message, atume kwako,mara
anajikomba kuomba msamaha kurudi baada ya kuona kule mambo sio,eti shetani alimpitia,kwani siku hizi Shetani ana gari hadi ampitie yeye tu?KAMWE usilambe matapishi.
Usikubali kugeuzwa ARV,vile vidonge,ili umuongezee maisha yeye baada ya kukumbana na virusi vya kuachika huko alikokimbilia kwa mbwembwe.Mwanaume ni msimamo,kama alikuacha kwa sababu,ukikubali kumrudia tena ipo siku atapata sababu tena ya kukuacha na utaumia mara mbili...
Usikubali kugeuzwa ARV,vile vidonge,ili umuongezee maisha yeye baada ya kukumbana na virusi vya kuachika huko alikokimbilia kwa mbwembwe.Mwanaume ni msimamo,kama alikuacha kwa sababu,ukikubali kumrudia tena ipo siku atapata sababu tena ya kukuacha na utaumia mara mbili...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment