Katika daladala chali mmoja akamwona binti
anachat akajisogezasogeza nakujishughulisha hadi akamfanikiwa kumuomba
contacts ili wachat Binti akamwandikia Chali katika karatasi
"Utanifia@yahoo.com
Chali kusoma nae akamwandikia ya kwake iliosomeka,
"Haulipikihivyo@yahoo.com
No comments:
Post a Comment