Chali: Hello babez!
Dem: Hello hello hun
Chali: Nitalate kiasi leo
Dem: Nishakujua uko kwa lile li-Demu lako we ni Mbwa sana cjui ilikuaje
ukawa na mimi. NAKUCHUKIA KAMA NINI SIKUPENDI HATA KIDOGO!!
Chali: Swit wangu niko Bank jamani!
Dem: Haa! Ulijuaje kama sina money niletee elfu 20 babez. nakupenda
sana kuliko roho yangu. Utapata nimekuwekea maji ya kuoga mpenzi.
Usisahau hizo pesa na ninunulie keki ya Blackforest na icecream. Lv
u..... Mwaaaaah!
Chali: Ni bank ya kuchangia Damu Mamaaa!
Dem: Nyooo..... Wambie wakutoe yote!!
No comments:
Post a Comment